Ulingo wa spoti
Hosted by Medza Mwangemi & Salim Barissa
Hii ni show inayokuletea matukio yote viwanjani,Pwani, Kenya, barani Africa na Uropa, kutoka kandanda, riadha, raga na spoti yote unayoipenda! Uhamisho wa wachezaje ikiwemo fununu ya mauzo! Pia hutakosa kupata prediction za kiuhakika!