Mtu Bei & Chigz Ngala
Ni show inayokupea nafasi ya kueleza na kuzungumzia story yako na pia kukupa matumaini kwa maisha.
Wataka burudani tosha a pia matumaini ya maisha? Kua kimaisha, kiafya na kibiashara, pia mahojiano ya moja kwa moja na waliobobea kwa sekta hizi tofouti. Mid-morning show ndio nyumbani!