Medza & Oscar
breakfast ndio show ya kipekee ukanda wa Pwani inayokuletea chochote kinacho endelea sio Pwani tu, bali Kenya nzima hadi ughaibuni.
Je, umewai kuwa na shida na mtu wa karibu wa familly to even swearing kusalimiana ni kwa baba tu? Today we have a mind-boggling issue we can all relate to at 8am. Stay tuned