Baba Mkubwa & Igwe

Baba Mkubwa & Igwe

Baada ya kazi mingi na stress za maisha, pata burudani bila kipimo ukiwa na wacheshi wakuu wa redio Pwani mzima ukipata mishe mishe zote kutoka kila kona kimaisha. Maswala za vijana ikiwemo madawa, biashara, mila na ulimwengu wa burudani!